Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikq mkuuMedia kama TBC ni media ya umma inatakiwa iwe active na vyama vyote vya wananchi. Kipindi cha kampeni kinakuja kampeni zirushwe live bila upendeleo kama hakuna sababu. Azama media watajipatia watazamaji wengi kama wanakuwa active na mambo ya wananchi bila upendeleo
Tbc hawawezi kuwa hivyo asilani abadaniMedia kama TBC ni media ya umma inatakiwa iwe active na vyama vyote vya wananchi. Kipindi cha kampeni kinakuja kampeni zirushwe live bila upendeleo kama hakuna sababu. Azama media watajipatia watazamaji wengi kama wanakuwa active na mambo ya wananchi bila upendeleo