Media kama TBC ni media ya umma inatakiwa iwe active na vyama vyote vya wananchi. Kipindi cha kampeni kinakuja kampeni zirushwe live bila upendeleo kama hakuna sababu. Azama media watajipatia watazamaji wengi kama wanakuwa active na mambo ya wananchi bila upendeleo