Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ruzuku ya chama inafika vyema na kwa uhakika sana hadi kwenye ngazi ya matawi na mashina ya CCM huku chini kabisaa kwa wananchi vijijini.
Nyenzo na vitendea kazi muhimu, uwezeshaji wa hali na mali kwa viongozi waandamizi wa CCM, kuanzia ngazi ya tawi unanatufikia vyema sana.
Asanti sana Mama.
Viongozi wa matawi, vijiji, kata, taarafa, wilaya na mikoa, hivi sasa wana wana ari mpya ya kazi, nguvu na kasi mpya ya kutembea kifua mbele, nyumba kwa nyumba katika maeneo yao, kutoa elimu ya itikadi na malengo ya chama, kueleza mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, na kubainisha mipango, mikakati ya chama na serikali sikivu ya CCM kuelekea mbele hususani, kwenye uchaguzi mkuu 2025.
Tunafahamu na kuamini kwamba hii ni sehemu kidogo tu ya jitihada zako mwenyekiti, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, lakini pia ni mwanzo tu wa maandalizi kabambe ya kuelekea kupata ushindi wa kishindo, katika uchaguzi mkuu ujao 2025 kwa madiwani, wabunge na Rais wa nchi.
Ndugu wananchi,
ukiona vya elea, ujue vimeundwa.
Tunaimani na mwenyekiti wa chama, Tunakuombea Mungu akupe nguvu na afya njema unapendelea kukiongoza chama chetu imara sana, Chama Cha Mapinduzi, kwa umahiri na waledi wa kiwango cha juu sana.
Asanti sana Mama.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒