Pre GE2025 Kongole nyingi sana kwa mwenyekiti wa CCM taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hivyo tu,
mipira na jezi za michezo za ccm, tracks&jackets za ccm, t shirts, kofia, kanga, vitenge, skafu, madera ya ccm, peni za kisasa za risasasi za ccm, notebooks za ccm, beji na medali za ccm, tairi cava za ccm n.k n.k aiseeeeeeee
Basi ccm itatawala milele, kama wananchi wanashoboka na vitu vidogo kama hivi??!!!
 
Kidumu kilishatoboka na wenye nacho hawana habari🫠
 
Matunda ya ukwapuaji ulioratibiwa vyema,kwa ufadhili wa machawa🫠
 
Vingereza vingi kumbe hamna kitu unatetea. Wasomi wa siku hizi ni chizi maarifa.
muhimu ni kwamba nchi ina amani na utulivu licha ya mihemko michache isiyo na tija 🐒
 
acha upotoshaji gentleman,
mara ya kwanza nathubutu kugombea ubunge nini laki5 pekee mfukoni, jiulize nilitoboa au sikutoboa?🤣

mimi ni matunda ya shule za kata..
hivi navyoandika nipo shambani licha ya cheo na dhamana niliyonayo kwa wanainchi 🐒

my friend ni kujipanga tu 🐒
 
Tujulishe dhamana yako ndugu mtoto wa mkulima🫠
 
Tujulishe dhamana yako ndugu mtoto wa mkulima🫠
nadhani hiyo si muhimu sana,
ile ya maana zaidi ni kuona zile rasilimali za chama zinafika huku ground kabisa kwa viongozi wa matawi ya chama. Na hiyo ndio uhai na msingi wa uimara wa CCM 🐒

tuendelee kuunga mkono jitihada za makusudi za mwenyekiti wetu wa chama 🐒
 
Chama kipi,vipo vingi ujue😃
 
Sema ni kuona zinafika kwa ndugu wajumbe wanyoa vichwaa🤭
 
Mawakala wa shetani wapo kazini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…