Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Licha ya kwamba stand hii haijakamilika vzuri mnajitahidi sana katika suala la usafi...Hii pia imechagizwa na kuwaondoa wale wamachinga ambao walishaanza kujenga vibanda ndani ya stand hii ya kimataifa. Usafi unaridhisha kuanzia vyooni hadi mazingira ya nje.
Kuna dustbin kila mahala na abiria pia wanajitahidi kuwa wastaarabu kwa kuzitumia ipasavyo hizo dustbin.
Ni rare sana kukuta uchafu ukizagaa au vumbi la hovyo hovyo. Tatizo kubwa nakuona kwenye hayo magari ambayo yanavujisha oil kiasi kwamba baadhi ya maeneo sakafu imeanza kuwa nyeusi mkiweza dhibiti hili basi ntawapa five stars