Kongole Wananchi, Mafanikio Ya Namna Hii Hayajawahi Kufikiwa

Kama kulikuwa na ushindani mkubwa mbona wengine wameshuka daraja huko? Labda ushindani dhaifu.

Kama kulikuwa na ushindani mkubwa mbona wengine wameshuka daraja huko? Labda ushindani dhaifu.
Huwa unatokea tu.

Kuna timu ilishiriki klabu bingwa ila ikatolewa kwenye kombe la ASFC na timu ambayo haiko kabisa kwenye mashindano ya CAF.
 
Mafanikio ni kuchukua Kombe, tofauti na hapoo ni msindikizaji km wengine tyuuh, yaan huna tofauti na waliotolewa hatua ya awali, ni mlipishana Muda tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawanaga akili hawa, Ni kuwaacha tu.
 
Liko wapi kombe la CAF Mabwege nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…