Kongosho!!!?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wajumbe naomba kujua sehemu ya mwili inapopatikana kongosho na kazi yake mwilini!!
 
Kongosho ni Pancreas kwa kiingereza, nadhani ndiyo inatengeneza/ inaregulate Insulin Mwilini.
I stand to be corrected!
 
Yes, kongosho ni pancrease. Ni tezi ambalo mbali na kutoa vemeng'enyo vya chakula (digestive enzymes), pia huwa inatoa chachu ya Insulin ambayo kazi yake ni kusaidia kusambaza sukari sehemu mbali mbali za mwili kutoka kwenye damu.

Inapatikana tumboni imejishikilia karibu na pale ambapo utumbo mdogo unaanzia yaani duodenum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…