Kontena 47 za ft 20, Kontena 23 za Ft 40 zinahitajika haraka

Kontena 47 za ft 20, Kontena 23 za Ft 40 zinahitajika haraka

kifaulongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
1,033
Reaction score
458
Tajiri yupo Dar es salaam. Ananunua Kontena za Ft 20 na Ft 40. Ziwe katika Hali nzuri. Baada ya makubaliano, Usafiri ni juu yake. Atasafirisha kontena zilizopo Nje ya Dar es salaam. Zinahitajika haraka. Wahi mapema.

Kwa mawasiliano Piga 0753021619.
 
Mcheki huyu jamaa si alitangaza jana anauza? Au mlishindwana bei?


Kuna mtu anahitaji Huko kwa wasukuma Bariadii
 
Hapa anatafutwa mtu apigwe,ananunulishwa makontena akiamini soko lipo akishanunua tu mnunuzi hapatikani.
 
Mhhh! Jana alikuja muuzaji wa makonteina!! Leo anakuja mnunuzi wa makontena!! Bahati iliyoje hii!!
 
Back
Top Bottom