kifaulongo
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,033
- 458
Nampigia muda huu Asante
Hahaa na mimi nime connect tuu taarifa, waki disconnect wasije wakanihusisha...Malizaneni na muuzaji huyo mkipeana za uso shauri zenu
Unikumbuke boss ganji kidgo nadhani unaelewa sote ni watu wazima..ya maji tuNampigia muda huu Asante
Unakuta anayehitaji ana offer ya 3M zoezi linakuwa gumu 🤣 hapo. Biashara ni ngumu sana hizi.Unikumbuke boss ganji kidgo nadhani unaelewa sote ni watu wazima..ya maji tu
Mtu anaingizwa mazima hapo. Subiri uone hii movie. Hapo muuzaji na mnunuzi ni mtu mmoja. Anaumizwa mtu muda si mrefu. Ukisikia chwiiiiiii ujue kaliwa....!Unakuta anayehitaji ana offer ya 3M zoezi linakuwa gumu 🤣 hapo. Biashara ni ngumu sana hizi.
Unikumbuke boss ganji kidgo nadhani unaelewa sote ni watu wazima..ya maji tu
Khaaaa basi sawa biashara njema......dalali anauliza cha juu asanteeeSawa mkuu sote tunapambana usiwe na wasiwasi kuhusu hilo
Surveyor
Asante huyo surveyor hana shida atapata ya maji.Khaaaa basi sawa biashara njema......dalali anauliza cha juu asanteee