Kontena ft 20 linahitajika

Kontena ft 20 linahitajika

01savag

Member
Joined
May 24, 2023
Posts
57
Reaction score
120
Naomba kupata muongozo namna ya kupata kontena la futi 20 au hata zaidi ya hapo kama itawezekana. Bei iwe nafuu kidogo mana budget imenibana.

Naomba anayeuza tuwasiliane au anayejua mahal naweza kuyapa kwa bei nafuu anisaidie
 
Bajeti yako ni sh ngapi?
Nikupm namba ya jamaa
 
Back
Top Bottom