Kontena la 20ft linahitajika haraka.

Kontena la 20ft linahitajika haraka.

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
602
Reaction score
152
Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri.
Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu.
Asante.
 
Mkuu laki nne hupati 20ft container, sii chini ya 1.8 mil Tsh
 
laki 4 ni bei ya 1998.

kwa sasa ni dollar 1700
jihadhari na contena la mkononi,kama halina documents itakula kwako kwani yawezekana likawa liliibiwa na mzigo wa vitenge to congo ,utasaidia upelelezi kwa gharama kubwa.
 
si mchezo.

Back
Top Bottom