Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri.
Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu.
Asante.
kwa sasa ni dollar 1700
jihadhari na contena la mkononi,kama halina documents itakula kwako kwani yawezekana likawa liliibiwa na mzigo wa vitenge to congo ,utasaidia upelelezi kwa gharama kubwa.