Elections 2010 kontena la CHADEMA

TwendeSasa

Senior Member
Joined
May 24, 2008
Posts
128
Reaction score
116
jamani kuna ukweli wowote kuhusu kuzuiliwa bandarini kontena la chadema lenye KADI,TSHIRT,KOFIA NA BENDERA from China mana nimekuwa nikipita makao makuu kuhitaji baadhi ya vitu naambulia tetesi hizo
kuna ukweli wowote na kama ni kweli kwanini wafanye hivyo
Naomba mnisaidie mana inaniboa sana na kama umegiundua chadema hawagawi kadi kwenye mikutano kama mwanzo wa kampen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…