Konza City inaendelea vizuri

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Konza city ambayo itakuwa technology city ya kwanza Afrika Mashariki inaendelea kujengwa na mambo yanazidi kunoga

===

Konza Technopolis, popularly know as Konza City is a key flagship project of Kenya’s Vision 2030 economic development blueprint. It is expected to be a world-class Smart city and an innovation hub, expected to transform Kenya’s economy into a knowledge-driven economy.

 
When numbers come out wanasema GDP ya kwenye makaratasi, na hawana such projects kwao, ni za kawaida tu, good work.
Watanzania itabidi waje Kenya ili waweze kuona technology city inavyofanana.
 
Tatu city ndio inakua kwa haraka kushinda hii, ila wamejaribu nao.
 
Unanionyesha renders? 😂 😂 Na mimi nikianza kukuonyesha renders si nitajaza servers za jf!
Umeangalia lakini au unalopoka. Kuna video hapo za nyumba zilizokamilika acha kukurupuka kijana
 
Umeangalia lakini au unalopoka. Kuna video hapo za nyumba zilizokamilika acha kukurupuka kijana
You got nothin in that village kijana, acha kulazimisha mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…