Koo Inataka Maji Masaa Yote,

Koo Inataka Maji Masaa Yote,

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
wadau koo yangu inataka maji muda wote, na huzidi nkiwa na mawazo, nmepma kisukari nkakuta sina. wameniambia niende kwa psachytrist. wadau mnsaidie maana usiku silali
 
Hiyo itakua imesababishwa na unywaji wa konyagi (bapa) au gongo number 1 ngojea wataramu waje
 
wadau koo yangu inataka maji muda wote, na huzidi nkiwa na mawazo, nmepma kisukari nkakuta sina. wameniambia niende kwa psachytrist. wadau mnsaidie maana usiku silali

utakua na ugonjwa unaitwa Sjogren syndrome ambapo matezi ya kutoa mate upata auto-immune reaction na kuyaua hivo kukufanye ukose kutoa mate ya kutosha mdomoni na hivo kukaukiwa koo!
Ngoja niishie hapo tu kwanza!
 
Tiba yake
 
Tiba yake

nishampa muongozo anaweza kwenda hospitali sasa!
Akifika atawambia daktari wangu kanambia nina sjogren syndrome!
Then wataanzia hapo ku work out!

Nafikiri alo post ni msomi mpaka hapo atakua ashasoma abcds mtandaoni na kulinganisha na dalili zake!

It may be or it may not be!
na hapo ndo tunaitaji supportive evidences kama vipimo!

nachojaribu kusema "this is not a disease you can treat Forums"
 
Back
Top Bottom