Hata mimi nahisi hivyoHiyo itakua imesababishwa na unywaji wa konyagi (bapa) au gongo number 1 ngojea wataramu waje
wadau koo yangu inataka maji muda wote, na huzidi nkiwa na mawazo, nmepma kisukari nkakuta sina. wameniambia niende kwa psachytrist. wadau mnsaidie maana usiku silali
Tiba yakeutakua na ugonjwa unaitwa Sjogren syndrome ambapo matezi ya kutoa mate upata auto-immune reaction na kuyaua hivo kukufanye ukose kutoa mate ya kutosha mdomoni na hivo kukaukiwa koo!
Ngoja niishie hapo tu kwanza!
Tiba yake