Koo kuwashawasha

Koo kuwashawasha

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
493
Reaction score
187
Jamani naombeni msaada ni mwezi sasa nasumbumbuliwa na tatizo la muwasho kooni na ulimi upo na rangi nyeupe hivi itakuwa ni nini?

Msaada tafadhali.
 
Msaada tafadhali,

Ninatatizo la muwasho maeneo ya kooni na rangi ya ulimi ni white in colour je, itakuwa ni nini wakuu,hii ilinianza baada ya kutumia antibiotic for UTI treatments.

Asanteni
 
Basi tuwasubiri wajuvi wa mambo,kwa sasa ungefika hospitali usemezane wataalamu wa afya.

thanks Blessed ila nilikwenda wakanipatia dawa ya kusukutua lakini haikunisaidia chochote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom