Huyo mwanaume mpuuzi tu unaushauriwa na mama/dada ili ujaribu/uoe mke mwingine haijakaa sawa.hiyo ..kuchukua mke mwingine lazima iwe ni uamuzi wako mwenyewe mpaka ushauriwe..hajakuwa huyo bado kinda! ...
ni ujinga unaondelea hapo kwenye jamii hiyo
huyo dada achukue wanawe akaanze maisha upya watoto watamtafuta baba wakiwa wakubwa. mtoto ni mtoto ebo!!!!
Kwa hiyo sisi ndo tunawatupa wazazi wetu??? Mind your tongue young lady((((((
apambane huyo mwanaume ndio aondoke hapo, mie ctaki kabisa kubebana na watoto kwanini yeye ndio acondoke?kuna vitu vinakera sana kwenye lyfe jamani, yaani sasa hivi ndio wanamwona hafai.
Wewe unasema tu aondoke mwanaume amwache kodi ikiisha si huyu mama atakuwa changu sasa atapata wapi kodi?
nazungumzia kama wamejenga luv.....
Hakua na maana mbaya kusema hivyo ukweli nikwamba wanawake wana huruma zaidi na katika familia yeyote ukikuta msichana ambaye hamjali mama yake ni wachache sana. hilo halimaanishi wanaume hawajali ila women are more concerned!Kwa hiyo sisi ndo tunawatupa wazazi wetu??? Mind your tongue young lady((((((
...afadhari vitoto vya kike huwa haviwatupi wazazi wao
Ameolewa na ana watoto wawili , Mungu amempa watoto wakike 2.Lkn Kuanzia baba mkwe , mawifi , shemeji zake wanamlaumu kwa kuzaa watoto wakike, na kusema mwanamke gani anazaa watoto wakike tuu.wakamshauri mwanaume akaenda kuoa mke mwingine ambaye atamzalia mtoto wa kiume.Bahati mbaya huyo mwanamke alizaa mtoto wa kiume lkn tahahira.Na katika wale mawifi waliokuwa wanamlaumu mke wa kwanza wa kaka yao, naye ameolewa amezaa mtoto wa kiume lkn tahahira. sasa wanasema huyo mke wa kaka yao wa kwanza ndiye anayewaroga wanazaa watoto wa aina hiyo, jamani mshaurini maana ameshachoka , kipi bora aendelee kubaki kwenye ndoa hiyo ili alee watoto au Aondoke maana amelemewa na lawama.
hapa naomba nikukatalie KATA KATA!watoto wa kike wanajua kusahau wazazi,HASA HASA MPINI UKIWAKOLEAbullshit
hao mawifi sijui wanga vile hawajui kama mtoto ni mtoto ..
afadhari vitoto vya kike huwa haviwatupi wazazi wao
Ameolewa na ana watoto wawili , Mungu amempa watoto wakike 2.Lkn Kuanzia baba mkwe , mawifi , shemeji zake wanamlaumu kwa kuzaa watoto wakike, na kusema mwanamke gani anazaa watoto wakike tuu.wakamshauri mwanaume akaenda kuoa mke mwingine ambaye atamzalia mtoto wa kiume.Bahati mbaya huyo mwanamke alizaa mtoto wa kiume lkn tahahira.Na katika wale mawifi waliokuwa wanamlaumu mke wa kwanza wa kaka yao, naye ameolewa amezaa mtoto wa kiume lkn tahahira. sasa wanasema huyo mke wa kaka yao wa kwanza ndiye anayewaroga wanazaa watoto wa aina hiyo, jamani mshaurini maana ameshachoka , kipi bora aendelee kubaki kwenye ndoa hiyo ili alee watoto au Aondoke maana amelemewa na lawama.
mpini ndio nini mkuu??hapa naomba nikukatalie KATA KATA!watoto wa kike wanajua kusahau wazazi,HASA HASA MPINI UKIWAKOLEA