Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Wadau wengi nliopata kuzungumza nao walio fanikiwa kupitia mikopo walineleza kanuni moja ambayo waliitumia mpaka kufikia mafanikio waliyo nayo (nao waliipata jwa wataalamu wengine waliokwisha kufanikiwa)
1: kopa ukaendeleze mradi wako ambao ulikwisha uanzisha hapo awali.
wengi wetu tumekuwa tukitafuta mitaji kwa ajili ya miradi tunayofikiria kuianzisha inayoweza kutuvusha kutoka mahali tulipo mpk level nyingine kiuchumi ila tunashahau kanuni moja hapo juu kuwa ni vyema kuwa tayari na mradi ndipo ukope kuuendeleza/kuukuza kuliko kukopa ili ukaanzishe mradi mpya.
(bila shaka utauliza utaanzishaje mradi bila kuwa na mtaji? hivyo si bora kukopa ili uwe na mtaji wa kuanzia? hapo wengi ndipo hushindwa)
2: dhamana za mkopo utakao chukua
kamwe usiweke dhamana mradi uliouanzisha kwa jasho(bila mkopo) kwa sababu tu unahitaji kuukuza/kuuendeleza mradi huo basi unaenda kukopa na kuuweka kama dhamana endapo utashidwa kurehesha madeni yako hapo kuna %kubw ya kuuzamisha mradi wako.
wadau hao nliopata kuzungumza nao walinambie karibia 75% ya watu waliokopa kwenda kuendeleza miradi yao na wakaweka dhamana miradi yao hiyo, wengi waliishia kufilisika kwa mali zao kupigwa mnada
mada hii Shule za African Tabata nursery na primary zinapigwa mnada na CRDB leo - JamiiForums imenifanyanya nikumbuke kanuni hizo mbili ambazo wengi wetu hushindwa kuzizingatia.
je unazo kanuni nyingine kuhusu kuyaendea mafanikio kupitia mikopo? weka hapa wengine wanufaike