Msimu uliopita kabla ya Fiston na Saidoo ntibazonkiza kombe lenu lilikua George Mpole.
Naomba mje mtamke mapema kabisa awamu hii kombe lenu ni Feisal Salumu au Waziri Jr??
NB: kombe la mdhamini kudhamini timu zaidi ya moja mjadala tumeufunga Sasa njoo mchukue kombe lenu Kati ya Feisal Salumu au Waziri Jr.