mchukunuzi
Member
- Jan 2, 2017
- 89
- 89
Diamond anauzia wap?sorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
Usikariri sio kila siku jumapilisorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
Ingia kwenye website yao kama hiyo huelewi, Acha uvivuHiyo list iko wapi?
Kwa hiyo unataka kubisha?!Hebu kwanza weka hii source ya hii habari yako.
Anauzia sokoni kariakoo.sorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
nenda mwenyewe kwenye tovuti yao acha uvivu watu wengine hawajui kuweka link JFSource [emoji117][emoji117]link
Ingia kwenye website yao kama hiyo huelewi, Acha uvivu
Labda mauzo ya mitumba karumeAlphabetical order hiyo. Acheni habari za kunjunga njunga.