Huo mtandao wa Kora unapatikanaje / wapi, weka anuani yake hapa. Angalia watu wengi tu wanaulizia hio linkKwa hiyo unataka kubisha?!
Umeingia kwenye mtandao wa Kora ukakuta hakuna hii habari?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili swali peleka jukwaa la siasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama unajua chidi, Mr blue, petitman wanahusika si ukawaulize msyuuuu, angalia kichwa cha habari na unayochangia, mkuu au bado umevimbiwa pilau la madale njaa mbaya ukiendekeza juu ya kidole utakaa.
Diamond ndo nansorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
nyimbo ya aje kwa miezi miwili tuu ilimuingizia zaidi ya M 900 kwa kununuliwa kama ringback tone kwa nchi hizi Uganda, Kenya, Nigeria na south Africa. hapo bado kudownlodiwa kwenye sites zaid ya 760 dunia nzima ambapo kazi hiyo ilisimamiwa kisawasawa na Sony.sorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
Nani alikupa izo tarifa maana kiba cyo mtu wa show off wala management yake haitoagi izo detail so nani nakupa izo detail ebu tupe sourcenyimbo ya aje kwa miezi miwili tuu ilimuingizia zaidi ya M 900 kwa kununuliwa kama ringback tone kwa nchi hizi Uganda, Kenya, Nigeria na south Africa. hapo bado kudownlodiwa kwenye sites zaid ya 760 dunia nzima ambapo kazi hiyo ilisimamiwa kisawasawa na Sony.
onlinesorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
onlinesorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
Wanataka kutupiga changa la macho live. Ahaahahaaaa team nyingine nazo [emoji23] [emoji23]Mleta mada, acha kukurupuka! Hiyo ni Kora's Top 20 na hapo wamepanga alphabetically. Hata Diamond yupo kwenye hiyo list na Diamond yupo kwenye nafasi ya juu ukimlinganisha na Kiba!
View attachment 469958
Kama inavyoonekana hapo juu, Ali Kiba amekaa kwenye Kora's Top 20 in 1 fortnight na Diamond 3 fortnights (= 6 weeks).
Hadi sasa, hakuna mwanamuziki aliyetokea zaidi ya 3 fortnights kwahiyo Diamond yupo kwenye kundi la wale waliokaa muda mrefu zaidi kwenye Kora's Top 20. Kwa Afrika Mashariki, ni Diamond na Victoria Kimani ndio wapo kwenye 3 fortnights.
Mleta mada, acha kukurupuka! Hiyo ni Kora's Top 20 na hapo wamepanga alphabetically. Hata Diamond yupo kwenye hiyo list na Diamond yupo kwenye nafasi ya juu ukimlinganisha na Kiba!