Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

Wakati huu Dunia haina super power
Dunia ishakuwa ulimwengu wa Kambale. Mkubwa ndevu mtoto ndevu.

Superpower mwenye itikadi za kishoga watu wamemtolea uvivu. Alikuwa anataka kuiharibu dunia kabisa kwa tabia zake za kifedhuli ila kwa sasa wahuni wanaishi nae af safi tu. Wanamkazia kweli kweli yani hana la kufanya.
 
Huyu mshenzi inawezekana ndiyo kammaliza babu yangu Shinzo, ila nakuhakikishia hana ubavu huo wa kuzing'oan Japan na Korea Kusini kama anavyotapa hiyo ni ndoto tuu
 
Japan wana sera yao kuhusu vita, hawakutaka kuwa na jeshi kubwa baada ya Hiroshima na Nagasaki
 
Hawa jamaa si ndio nasikia bangi ni halali kwao
 
Huyo takataka anajifariji ashukuru anaongoza ng'ombe. Ana impact gani duniani kasambaratishwa Mrusi sembuse hicho kimashavu. Huyo haitaji hata silaha kumsambaratisha ni kuwaingizia tu ng'ombe wake mawazo mapya ya ukombozi wa fikra. Kisha anaundiwa vikundi vya kama alivyofanyiwa Gadaff na Saddam. Utashindana vipi na watu waliokabidhiwa duniani waiongoze.
 

  • Chapisho hili ni la tarehe 18 Julai 2022, likionesha Rais Kim Jong-Un akihutubia katika mkutano wa Chama cha Wafanyakazi jijini Pyongyang, hata hivyo, mkutano wa mwisho wa Chama cha Wafanyakazi ambao Rais Kim alihudhuria ulikuwa mkutano wa 8 wa Chama cha Wafanyakazi, mkutano uliofanyika Juni 29, 2022, kwa mujibu wa The Jakarta Post na Korea Times.
  • Rais Kim alihudhuria na kuhutubia maadhimisho ya miaka 69 ya makubaliano yaliyositisha vita vya Korea (Kusini na Kaskazini) vya mwaka 1950-53, maadhimisho yanayojulikana kama Victory Day nchini Korea Kaskazini, kwa mujibu wa Yonhap News Agency, tarehe 28 Julai 2022, siku 10 baada ya chapisho hili.
  • Ingawa Rais Kim alitoa matamshi ya kutishia 'kuifuta Korea Kusini katika ramani ya dunia' ikiwa itaendelea kufanya mazoezi kwa kushirikiana na Marekani, na kuwa nchi yake imejiandaa kikamilifu na ipo tayari kutumia silaha za nyuklia ikiwa kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo, Rais Kim hakutaja vifaa vya kijeshi anavyomiliki wala kutoa kauli kuwa anamiliki 'silaha ambazo hazijawahi kufikiriwa ulimwenguni.'
  • Kabla ya kutoa kauli hiyo ya Julai 28, sera ya mambo ya nje ya Korea Kaskazini wakati wa hotuba ya Juni 29 ilikuwa imeelekezwa kuyatambua maeneo yaliyojitenga ya Luhansk na Donetsk katika mzozo wa Ukraine unaoendelea, ambapo msemaji wa Serikali ya Korea Kaskazini alitoa taarifa siku chache baada ya mkutano wa chama wa Juni 29, akihakikisha kuwepo kwa ushirikiano thabiti kati ya Korea Kaskazini na mataifa yote ya ulimwengu, kwa mujibu wa Korea Times.
  • Picha iliyotumika katika chapisho hili haina uhusiano wowote na hotuba aliyoitoa Rais Kim Juni 29 wala Julai 28. Kwa mujibu wa NBC News, picha hii ilionekana kwa mara ya kwanza mapema mwezi Januari mwaka 2020 wakati Rais Kim alipohudhuria Mkutano Mkuu wa siku 5 wa Kamati Kuu ya Chama cha Wafanyakazi jijini Pyongyang.
TAARIFA ILIYOCHAPISHWA KUWA RAIS KIM JONG-UN ANATAKA KUZIFUTA KOREA KUSINI NA JAPAN KUTOKA KATIKA USO WA DUNIA INAPOTOSHA
 
BREAKING: Iran's National Oil Company has announced a $40 billion strategic cooperation agreement with Russia's Gazprom, in line with Putin's visit to the country.
Safi sana, watu sasahivi lazima wahamke waje na strategy ya kupapambana na ushenzi wa Western wa sera za kudhoofisha uchumi wa baadhi ya mataifa
 
Unadhani ni rahisi kufanya hayo uliyoyazungumza dhidi ya Korea ya kaskazini ?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…