Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ni vichekeshoo tupuu. Sasa km yeye huyo kabufu anaweza sii aanze kuipiga Washington DC, tuone huo ubabe wake,

Anadhani kutest hivyo vinyukilia vyake bas watu wanaogopa, wana mzoom tyuuh kwanza washampuuza, nchini kwake njaa tupu hana hata analolijua.

Watu humu mnashangilia oooh bora western wapigwe kisa ushoga, mbna ndo huwa mnakimbilia huko kwa mashoga kutafuta fursa, na kuomba misaada na mikopooo? Si muende kwa hao malijari mnakwama wapiiiii???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmevurugwaa, maumivu yapo sanaa, ndo kwanzaa yanaanza hivyo.
 
Sasahivi watu wanapiga mikwara Kila Kona mamaee ni baada ya kugundua Kiongozi wa mashoga Duniani kumbe mwepesi tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji16][emoji38][emoji16][emoji16]
Leo hii huyo umuitae shoga Kawapa msaada wa mabilioni ya Dola kuzuia uchumi wenyu huo wa kipumbavu husianguke kama wa Sri Lanka .
Sijui kajamba huyu punguani wa Korea kaskazini huwapa msaada upi.
Sielewi.
 
Walisha muwahi wenzake kabla ajabonyeza kifungo atakuwa amesha lamba vumbi apana chezea cia.
Cia wamesema wanauwezo kumtoa huyo jamaa anatishia kulipua nyukilia ila hawana huwo muda maana wanajuwa atadondoka.
 
Misaada ndio inayotufanya tunakuwa wapumbavu. Kiduku kawekewa vikwazo vya kila aina lakini sasahivi mmarekani mwenyewe anamuogopa. It will end up mmarekani kuomba urafiki na kiduku ili kuwe na amani
 
Acha urongo wale Wana akili kuliko wewe
 
Walisha muwahi wenzake kabla ajabonyeza kifungo atakuwa amesha lamba vumbi apana chezea cia.
Cia wamesema wanauwezo kumtoa huyo jamaa anatishia kulipua nyukilia ila hawana huwo muda maana wanajuwa atadondoka.
Mmekalilishwa maujinga mengi sana
 
Huyu ye aendeleege na mikwara yake tu ivo ivo. Akijaga kujichanganya kufanya chochote ndo atajua hajui
 
Aisee,binadamu akiinuliwa huinuka zaidi na kuwa katili wa roho
 
...hapa kiduku ndipo huwa ananichangaya! kishaona Russia anafaidi😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…