Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

N Acha zako wewe marekani hawatuwezi hata sisi Wa Tz tupo gado.
[emoji34][emoji34][emoji34]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yoyote tu watakayoona inafaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ya sasa sio ya kufanya uvamizi pasipo kuwa na sound reasons za kuziaminisha taasisi za ulinzi na usalama kuepuka kutengwa hata kugeukwa na majirani. Kinachotokea Ukraine, Urusi hakuwa na jinsi dhidi ya uchokozi wa West wa kihistoria juu yake. Wengi wanaiongelea sana hii vita juu juu bila kujua kuwa ulikuwa ni mpango madhubuti wa NATO kumuingiza Urusi kwenye vita vya muda mrefu bila ya ushirika wa wao wa moja kwa moja.
Akishadhoufika Urusi, mikakati itahamia upande wa Asia Mashariki haijarishi lini hili litatokea
 
Japo una hoja ya msingi kuhusu watu kukimbilia western countries, Ila swala l ushoga ni la kupigwa vita kwa nguvu zote.
Achana na hiyo tabia, Acha kabisa
 
Katika dunia hii kuna watu wajinga saana na wapumbavu hasa sisi watu weusi
Nafikiri hatujaumbwa na Mungu wa mbinguni tutakuwa tuna toka kwa shetani ambaye hajui njema na baya
Yaani una kuta mtu anaomba vita eti wapigane tuone hivi jiulize tu hawa magwiji wa ulimwengu huu wakiingia vitani sisi vipanya tutaishi vipi
Maana kuna vitu vingi tu tunategemea kutoka kwao
Wewe kipanya utaishi vipi
Mfano tu mdogo operesheni tu hii ya Urusi kwa ukrain na imefanya maisha kupanda bei sasa jiulize wakianza kupigana wewe utaishi vipi
 
Huyo panki atadundika hadi achakae sema tu hana madhara thus hawana time nae
 
Unakanyagwa
 
Hahahaa Kipindi nasoma hili bandiko nilijua stori ya kutunga basi nikawa nasoma huku nacheka. Huyu jamaa namkubali sana, yaani wakijaribu tu yeye anakiwasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…