#COVID19 Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid-19. Kim Jong Un avaa barakoa kwa mara ya kwanza

Teknolojia ya uzalishaji viwandani sio teknolojia ya silaha,wanauza silaha hao? Hofu yao ni ipi hasa?
Aah brother hakuna nchi iwe vizuri kwenye viwanda vya uzalishaji halafu kwenye mambo ya security ilegelege unapokuwa na heavy industries za kuzalisha bidhaa unaanzaje kuacha kuwa na heavy/sophisticated machines kwa ajili ya kujijengea uwezo wa kivita
 
Sasa wao wako kinyume nyume,wako busy na makombora wakiti kiuchumi wako hovyo kabisa..

Umewahi nunua bidhaa yeyote ya N.Korea sokoni?
 
Sasa wao wako kinyume nyume,wako busy na makombora wakiti kiuchumi wako hovyo kabisa..

Umewahi nunua bidhaa yeyote ya N.Korea sokoni?
Hahaha ila unanafurahisha. Hivi unajua research tu ya hayo mambo inakula pesa kiasi gani? Kununua teknolojia kutoka nchi za wengine(iwe kwa halali au kihuni/kijasusi) unajua inagharimu kiasi gani? Katika nchi masikini 30 duniani korea ni ya ngapi? Unajua tusilishwe maneno na media kuwa korea wapo hovyo kiuchumi.. Hakuna nchi kwa sasa inaweza kumwamsha mmarekani aende kusainiana mikataba (tena kwa mkono wa raisi) huku nchi hiyo ni masikini. Kumbuka kwenye utawala wa Trump

NAOMBA GDP YA MKOREA KASKAZINI TUANZIE HAPO KUJADILI UCHUMI WAKE.
britanicca NAOMBA MUONGOZO KWENYE HILI
 
Kuna kitu Kiduku anataka kuuaminisha ulimwengu.
Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…