Korea Kusini: Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete atembelea Ubalozi wa Tanzania

Korea Kusini: Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete atembelea Ubalozi wa Tanzania

Joined
May 12, 2007
Posts
6
Reaction score
7
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi.

Akiwa na mwenyeji wake Balozi Togolani Mavura, amewahimiza kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kuunga mkono kazi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

PHOTO-2023-05-11-22-06-01.jpg
PHOTO-2023-05-11-22-06-06.jpg
PHOTO-2023-05-11-22-07-01.jpg
PHOTO-2023-05-11-22-07-08.jpg
 
Huyo alikua anamuamdikia hotuba zake hakuna habari hapo mtu kumtembelea kijana wake.
 
Back
Top Bottom