Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Unawazungumziaje wahehe/wanyaru kule Iringa mkuu..?! Na wafipa wanakulaga panya huko Swax vp nao...?Ukiona watu wanautamaduni wa kula wanyama wa ajabu kama mbwa na paka jua kuwa kihistoria walikuwa maskini sana na maeneo yao hakukuwa na wanyama kama ng'ombe, mbuzi etc.
Mtu aliyezungukwa na ng'ombe na mbuzi hawezi kula mbwa.
Atakuambia sio wakiristo [emoji23][emoji23]Unawazungumziaje wahehe/wanyaru kule Iringa mkuu..?! Na wafipa wanakulaga panya huko Swax vp nao...?
Kiasili maenwo hayo hayakuwa na ng'ombe wala mbuzi. Wala kondoo.Unawazungumziaje wahehe/wanyaru kule Iringa mkuu..?! Na wafipa wanakulaga panya huko Swax vp nao...?
Kwani Iringa sio wakristo... wamekosa hata nguruwe hadi wale mbwa na paka? Baharini huko vimejaa kila aina ya vilivyohalalishwa why mbwa na mapaka? Rais Moon Jae-in ni mkristo nadhani ndio maana ameanza mchakato wa kuharamisha mbwa na mapaka kuliwa kama chakula!
... Tangu dini ziingie Iringa ulaji mbwa ulikoma.Kwani Iringa sio wakristo
Ukiona watu wanautamaduni wa kula wanyama wa ajabu kama mbwa na paka jua kuwa kihistoria walikuwa maskini sana na maeneo yao hakukuwa na wanyama kama ng'ombe, mbuzi etc.
Mtu aliyezungukwa na ng'ombe na mbuzi hawezi kula mbwa.
Kwahiyo kwa sababu yeye anapenda ufugaji wa mbwa ndio anazuia watu wasile mbwa?
Mbwa wanachinjwa kikatili sanaRais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo.
Rais Moon ambaye ni Moja ya watu wanaopenda ufugaji wa mbwa amesema upigaji marufuku wa ulaji wa mbwa ni njia mojawapo itakayosaidia kulinda wanyama hao wasiteketee zaidi wasiteketee zaidi
Hata hivyo inasemekana kuwa ulaji wa nyama ya mbwa umeshuka ingawa bado takribani mbwa milioni moja wanachinjwa kwa mwaka.
Nchi ya Korea Kusini tayari imepiga marufuku uchinjani wa kikatili wa mbwa na paka ilaulaji wa nyama hizo haukuwahi kupigwa marufuku.