korodani kuingia ndani baada tendo la ngono

korodani kuingia ndani baada tendo la ngono

chapamamba

Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
56
Reaction score
21
naomba msaada kujua kwanini korodani yangu ya kulia huwa inapanda juu au kuingia ndani mara baada ya kumaliza kufanya ngono,huwa na maumivu madogo lakini yananinyima raha,mara nyingi hutokea korodani ya upande wa kulia,hupanda juu na kuzama ndani.naomba kujua tatizo lake ni nini,na tiba yake ni nini?
 
... Kapate ushauri wa daktari.
Na kuanzia leo' uache kuzini, mpaka utakapo oa.
 
Muone dokta haraka lakini pia huenda ukawa na Henia.
Wahi kwa Hospital kabla mambo hujayaharibu ndg.
 
Back
Top Bottom