naomba msaada kujua kwanini korodani yangu ya kulia huwa inapanda juu au kuingia ndani mara baada ya kumaliza kufanya ngono,huwa na maumivu madogo lakini yananinyima raha,mara nyingi hutokea korodani ya upande wa kulia,hupanda juu na kuzama ndani.naomba kujua tatizo lake ni nini,na tiba yake ni nini?