Korodani kutoshuka msaada

Korodani kutoshuka msaada

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
1,839
Reaction score
2,475
Tujipongeza kwanza kwa kuwa hewani nawasalimu wana jf wote niliwa mis sana. Turudi kwenye mada Nina mtoto miaka mitano baada ya kumuogesha hivi kalibuni maana nimekuwa mbali na familia. ni megundua hana zile goroli kipo kingozi tu. Baada ya kugundua hilo nimepata hofu sana. Je tiba ni upasuaji tu? Na je ghalama zikoje kwa sie tusio na bima? Na je hii ni kawaida na itamuathili kiasi gani mtoto. nitafurahi kwa kupata maoni ya kitaalamu asante.
 
Mkuu huyo mtoto wa miaka mi 5 kazaliwa hivyo hivyo au hilo tatizo limeanza sasa hivi??
 
Hio ni kawaida tu mkuu kwa watoto, haina haja ya upasuaji
Asante kwa kunitoa hofu. Kwa hiyo zitashuka zenyewe? Inaonekana toka kuzaliwa haziku wahi kukaa kwenye kifuko kwa mujibu wa mama yake. Sasa tunae mtoto mdogo wa miezi mitano ndio tumegundua tofauti zakwake ni kubwa na ukishika una zihisi kabisa,
 
inaonekana kazaliwa hivyo hivyo maana hata uume unaonekana kuwa mdogo sana
Mkuu ni miaka mitano au miezi mitano..??
Kama ni miaka mi 5 hapo kuna tatizo lakini kama ni miezi mi 5 unaweza kwenda kwa dr akamfanyia uchunguzi lakini mara nyingi huwa testis zinashuka zenyewe akifikisha mwaka 1..
Ikishindikana itabidi upasuaji uhusike
 
Ni miaka mitano kiongozi
 
Kuna matatizo ambayo hutokea wakati wa kichanga kikiwa kinakuwa tumboni ambapo testis zinashindwa kudescent(kushuka chini)..inawezekana alipata hili tatizo..fanya kwenda kwa wataalamu wa afya kupata maelezo zaidi..
 
Ni miaka mitano kiongozi
Mkuu imekuwaje mtoto anafikisha miaka mitano ndio unamuona korodani hazijashuka????
Au inawezekana ulipomuona dogo ilikua ni kipindi cha balidi kali au alikua anaoga maji ya baridi korodani zikapanda juu..?

Huyo mpeleke hosiptali dr amcheki lkn ujiandae kisaikolojia na surgery kama ni kweli hazijashuka toka alipozaliwa..

Maana complication za kumuacha hivyo hivyo ni ugumba nA kuongezeka kwa risk ya kupata kansa ya testis
 
Kuna matatizo ambayo hutokea wakati wa kichanga kikiwa kinakuwa tumboni ambapo testis zinashindwa kudescent(kushuka chini)..inawezekana alipata hili tatizo..fanya kwenda kwa wataalamu wa afya kupata maelezo zaidi..
Asante kiongozi kesho nitampeleka
 
Kiingereza inaitwa cryptorchidism(kushindwa kwa testes kushuka na kukaa kwenye mfuko wake yaan scrotum) ni kawaida kwa watoto baada ya kuzaliwa mpka kutimiza miezi minne lakini baada ya hapo kama hazijashuka basi kwa msaada wa kufanyiwa upasuaji au kuchomwa sindano ya hormone HCGH hutumika.Mara nyingi hutokea kwa pre mature babies, na ni vizuri kulitibu tatizo mapema ili kuepusha madhara hapo mbeleni. Tusubiri wataalamu wengine ambao wamebobea kwenye hayo maswala watuelezee zaidi na kutupa msaada wa kina.
 
Mkuu imekuwaje mtoto anafikisha miaka mitano ndio unamuona korodani hazijashuka????
Au inawezekana ulipomuona dogo ilikua ni kipindi cha balidi kali au alikua anaoga maji ya baridi korodani zikapanda juu..?

Huyo mpeleke hosiptali dr amcheki lkn ujiandae kisaikolojia na surgery kama ni kweli hazijashuka toka alipozaliwa..

Maana complication za kumuacha hivyo hivyo ni ugumba nA kuongezeka kwa risk ya kupata kansa ya testis
Imetokea tu kama bahati Tu nikimogesha.kumuuliza mama yake anasema ndivyo alivyo. Sasa ana mdogo wake wa miezi mitano nikubwa kuliko zake. Nime endelea kumkagua sio sababu ya baridi. Kuhusu kungundua Mihangaiko ya kutafuta hivyo narudi MD mbaya watoto wa melala
 
Mbooo yake inasimama?
 
Back
Top Bottom