Ndugu yangu huu ugonjwa umekuwa tatizo
1. Tarehe 27/07/2025 Mke wako alikuwa na Hernia Ref:
Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4 Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba Hali ikitokea anakaa katika maumivu...
2. Alhamisi iliyopita ukaripoti
Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa, Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
3. Ijumaa ukaripoti kuwa
Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma...
Watu tukajipinda kukupa ushauri
4. Leo hii unaleta tena hii
Habari wakuu Mzee wangu umri miaka65,alianza kuuma sana korodani zote na nyonga na mapaja,korodani moja limejaa limevimba ukubwa wa ngumi Sasa baada yakumfikisha hospital imeonekana vipimo korodani limegeuka na pia ana infection,Sasa wamesema dawa wanampa kwa siku mbili hizi kuangalia kama...