Habari wana jamiiforums!
Mm kijana wa miaka 24 nimepata tatizo kwenye korondani yangu ya upande wa kulia maana inauma Sana na nikijaribu kuifinyafinya Kama Kuna uvimbe ambao nikifika hilo eneo panauma Sana tatizo Lina wiki Sasa na sijatumia dawa yeyote Niko nyarungusu kigoma.
Asanteni.