Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Sina shaka na uzalishaji wa mbengu zenye genes zote. Swali langu ni, je kuna ukweli wowote kuwa mtu mwenye korodani moja (kutokana na nyingine kuondolewa kwa sababu za kiafya) huzalisha kiasi kidogo cha shahawa?? Na je, ni kweli humsababishia mwanaume kuwa mlegevu kwenye tendo?? Msaada wenu tafadhali.