MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Habari zenu wana JF, mimi ninatatizo ambalo limeanza hivi karibuni sijaenda kwa daktari au la ila tatizo lenyewe ni kwamba korodani zangu zinakuwa zinauma sana je ni sababu ya nini na nifanyeje ili kuondoa tatizo hili?