ingawa si wote wenye nia njema au utani unakuwa mwingi kwenye jambo muhimu ila nashukuru kwa mawazo yenu, nadhani hapa ni kwenda hospitalini tu ndiyo suluhisho, nilitaka kujua basic ya tatizo km hilo kwakuwa mimi si mtaalamu wa kitabibu (dactari) hivyo nimekuja hapa ili angalau nipate mwangaza wa jambo km hili, ila kwa ushauri ulio mwingi nimeona afadhari niende hospital tu nikajue kinachoendelea, asanteni sn wana JF the tatizo/ufumbuzi wake nitakuja tena hapa ili tuweze saidiana kwakuwa inawezekana yupo mtu anatatizo km langu na likamsaidia.