Korodani

Korodani

Ali Di Vybz

Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
10
Reaction score
1
Am Ali Abdi, aged 26yrs old. Nimekua na shida ya korodani moja ya upande wa (right) Kwa kipindi kirefu sasa. Kama ni ngono bila kinga, niliwahi kufanya Mwaka wa 2012 ambapo nilipata ugonjwa wa (Ngonolia). Lakini
Nilienda hospitali asubuhi yake nilipogundua kasoro, na nikatibiwa kwa madawa pia shindano.
Baada ya mwako mmoja unusu hivi, nimepatwa na shida sasa ambapo, nimekua nahisi uchungu korodani moja, haswa mida za jioni usiku.
Wakati mwingine nahisi huu uchungu baada ya kuenda (haja kubwa)tena natokwa na uchafu aina ya maninii kidogo baada ya kukojoa na wakati mwingine kabla ya kukojoa.
Ni uchungu mkali ambao huja ukipotea. Tena korodani yenye uvimbe, haiguziki kwa uchungu mwingi. Mara wakapi nikipiga Nyeto, nahisi uchungu sana wakati manii yaelekea kutoka. Na wakati mwingine, nahisi kama sindano katikati ya mkundu. Haswa, hii shida huja niendapo haja kubwa.
Sasa nashangaa ni ugonjwa tofauti
Nilimeza dawa aina nyingi na kutembelea hospitali nyingi kutoka mwaka wa 2013,lakini ilishindikana.
Mara ya kwanza Daktari alisema kua ni (Epididymo-chities). Alinitibu kwa muda na ugonjwa ukawa bado wanisumbua, niliamua kutembelea hospitali tofauti.
Huyu nae alisema huenda ikawa (Prostate). Akawa ananitibu na kufanya (autra-sound) kibao lakini baada ya mwaka mmoja, nikaona tena hakuna mabadiliko.
Niliamua tena kubadili hospitali, hospitali ya tatu sasa, Dokta alisema huenda ikawa nini sikumbuki haswa jina lenyewe. Alianza tiba zake nae kwa mda miezi tisa hivi. Pia nikaona hakuna matumaini, ndiposa nikaamua kumrudia tena daktari wa mwazo.
Yule alikua akitibu, lakini ugonjwa unarudi baada ya kama wiki, wiki mbili hivi.
Aliniambia tufanye Upaseaji ambapo Alinifanyia na nikawa sina tatizo. Lakini baada ya Mwaka mmoja mwezi mmoja naona tena ile ile shida imerudi tena....
Sasa naombeni wataalamu mahsusi. Nifanyeje jamani nasumbuka nimekosa hata umuhimu wa kuishi tena.
Mama mzazi mwenyewe maskini nimemfaya fukara fuke mara dufu. Yani jamani naona anateseka zaidi na ugonjwa usiojulikana huu.
Nashindwa la kufanya jamani naomba kujua jinsi na tiba yake.
Ahsanteni

☆ m.facebook.com/santanosali.hades?ref=
 
Nenda muhimbili haraka Sana
 
Back
Top Bottom