Korogwe kupandishwa hadhi hadi kuwa Manispaa

Korogwe ni kama haiendani na mkoa wa Tanga vile , korogwe wako kushoto ni watu wa kaskazini .
Unamaana gani unataka korogwe iwe mkoa wa Kilimanjaro au maana same zamani ilikuwa tanga ile
 
Korogwe kumechangamka saana

Kilimo plus mzungguko ni mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…