#COVID19 Korona ya Tanzania ina maajabu, inakuwepo kwenye mikusanyiko ya upinzani ila kwa watawala na CCM inayeyuka

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.

Korona ya Tanzania is so unique.
 
Leo rais Samia Suluhu Hassan Yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa Ila kesho chadema wakiitisha mkutano wawatu 50-70 korona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.

Korona ya Tanzania is so unique.
Conclusion: Polisi wanajua kwamba Corona na CCM wana uhusiano wa kindugu, wanatambuana.
 
Chengine chaajabu ya korona ya Tanzania mwenyekiti wa chadema alikuwa anahimiza chanjo iletwe imeletwa Sasa lakini waliochanja mpk Sasa taifa Zima ni watu laki 3! Sasa sijui wanachadema inawatu wangapi!🤣
 
Leo rais Samia Suluhu Hassan Yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa Ila kesho chadema wakiitisha mkutano wawatu 50-70 korona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.

Korona ya Tanzania is so unique.
Wasio haki ni vipofu! Wanaliangamiza taifa kwa kushindwa kutenda haki. Kila apandacho mtu ndicho atakachovuna!
 
na kingine ni kwamba wakati jpm anasema haipo hao hao wanaoomba mikusanyiko leo walimwona hamnazo kwa kutozingatia kanuni hiyo muhimu ya kujikusanya.
 
Wasio haki ni vipofu! Wanaliangamiza taifa kwa kushindwa kutenda haki. Kila apandacho mtu ndicho atakachovuna!
haki ni nini???

hivi unajua haki ni halali yako lakini sio lazima kuipata.
 
Hadi leo sija bahatika kuona wala kusikia mtu mwenye corona au me nko burundi
 
Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.

Korona ya Tanzania is so unique.
Na matamasha ya Siku ya mwananchi na Simba day inayeyuka na polisi walaa hawana habari nayo
 
Chengine chaajabu ya korona ya Tanzania mwenyekiti wa chadema alikuwa anahimiza chanjo iletwe imeletwa Sasa lakini waliochanja mpk Sasa taifa Zima ni watu laki 3! Sasa sijui wanachadema inawatu wangapi![emoji1787]
Mwenyekiti wa chadema ndo rais wa nchi.huyo mwenyekiti yeye alitoa ushauri kama mwananchi wa kawaida ila mwenye maamuzi ya mwisho wa nini kifanyike na kifanyikeje ni rais wa nchi.Na rais ameshasema chanjo ni hiyari.Sasa unaletaje mambo ya mwenyekiti wa chama dhidi ya tamko la serikali.
 
Mkuu si mnajali afya zenu kachomeni kimeletwa mlichokuwa mnakihubiri.. mi sidhani kama kuna haja ya kuleta maneno badala mkachome tu au mnataka na hilo mlazimishwe..? Mkilazimishwa mtadandia tena demokrasia Mara free will!! Kachomeni bhana chanjo zishakuja.
 
Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.

Korona ya Tanzania is so unique.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.

Korona ya Tanzania is so unique.
Corona ya tz inaunga mkono chama flan ivi
 
Back
Top Bottom