Conclusion: Polisi wanajua kwamba Corona na CCM wana uhusiano wa kindugu, wanatambuana.Leo rais Samia Suluhu Hassan Yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa Ila kesho chadema wakiitisha mkutano wawatu 50-70 korona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.
Korona ya Tanzania is so unique.
Wasio haki ni vipofu! Wanaliangamiza taifa kwa kushindwa kutenda haki. Kila apandacho mtu ndicho atakachovuna!Leo rais Samia Suluhu Hassan Yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa Ila kesho chadema wakiitisha mkutano wawatu 50-70 korona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.
Korona ya Tanzania is so unique.
haki ni nini???Wasio haki ni vipofu! Wanaliangamiza taifa kwa kushindwa kutenda haki. Kila apandacho mtu ndicho atakachovuna!
Na matamasha ya Siku ya mwananchi na Simba day inayeyuka na polisi walaa hawana habari nayoLeo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.
Korona ya Tanzania is so unique.
Mwenyekiti wa chadema ndo rais wa nchi.huyo mwenyekiti yeye alitoa ushauri kama mwananchi wa kawaida ila mwenye maamuzi ya mwisho wa nini kifanyike na kifanyikeje ni rais wa nchi.Na rais ameshasema chanjo ni hiyari.Sasa unaletaje mambo ya mwenyekiti wa chama dhidi ya tamko la serikali.Chengine chaajabu ya korona ya Tanzania mwenyekiti wa chadema alikuwa anahimiza chanjo iletwe imeletwa Sasa lakini waliochanja mpk Sasa taifa Zima ni watu laki 3! Sasa sijui wanachadema inawatu wangapi![emoji1787]
Mkuu si mnajali afya zenu kachomeni kimeletwa mlichokuwa mnakihubiri.. mi sidhani kama kuna haja ya kuleta maneno badala mkachome tu au mnataka na hilo mlazimishwe..? Mkilazimishwa mtadandia tena demokrasia Mara free will!! Kachomeni bhana chanjo zishakuja.Mwenyekiti wa chadema ndo rais wa nchi.huyo mwenyekiti yeye alitoa ushauri kama mwananchi wa kawaida ila mwenye maamuzi ya mwisho wa nini kifanyike na kifanyikeje ni rais wa nchi.Na rais ameshasema chanjo ni hiyari.Sasa unaletaje mambo ya mwenyekiti wa chama dhidi ya tamko la serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.
Korona ya Tanzania is so unique.
Corona ya tz inaunga mkono chama flan iviLeo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu.
Korona ya Tanzania is so unique.
Mshukuru sana Mungu ndugu.Hadi leo sija bahatika kuona wala kusikia mtu mwenye corona au me nko burundi