Korosho bei ya jumla

matheiavelini

Member
Joined
Jan 8, 2023
Posts
10
Reaction score
15
Unawapa kitafunwa gani wageni wako?

Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi?

Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu.

Bei ya Jumla;
Ikg =21000/
Nusu kg=11500/
Robo kg=7000/
100g =3000/

Agiza leo nikuletee mpaka nyumbani/ofisini kwako bure.

Utalipia baada ya kuonja.

SMS/Call/Whatsapp;
+255 757334796 - Mr. Mathei
Kunduchi, Dar es salaam.

 
Mm pia nashangaa yaani kilo 21000 hatr
Usishangae ,sokoni Kuna Mchele wa 2700, upo mpaka wa 4000 Kwa kg.

Kama nikikuonesha tofauti ya korosho hizi na zile nyingine,upo tayari kununua Leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…