malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu,
Naomba kuuliza Korosho ipo katika kundi gani ni Wanga au Protein?
Naomba kuuliza Korosho ipo katika kundi gani ni Wanga au Protein?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ulichokiandika umekielewa?Ni protini hizo ila kwa kiasi kikubwa ni mafuta na ni wanga kidogo
Ni karanga ila za mtini(treenuts). Ukila gram 100 unapata. Wanga 252kcal, protein 7.7g, fat 20.6.Habari wakuu
Naomba kuuliza Korosho ipo katika kundi gani ni Wanga au Protein?.
😄😄 Watu mnawaza aiseeKama maharage tu vilevile ni bisexual
Wewe ndio hujaelewa mkuu.Hiki ulichokiandika umekielewa?
Umeanza kusema hizo ni protini.Wewe ndio hujaelewa mkuu.
Ni Mafuta,protini na wangaUmeanza kusema hizo ni protini.
Halafu ukasema ila kwa kiwango kikubwa ni mafuta.
Sasa kwann ziwe protini wakati sehemu kubwa ya korosho ni mafuta.?
Kwnn tusiseme ni mafuta.
🙄 usikute we jamaa ni mjomba angu "mkaza shangazi" nna shangazi angu anaitwa dorry (Dorcas)"kama ukitoka kariakoo niletee korosho """
Alisikika shangazi dorry
🤗🤗🤗🤗🤗 Haya ankoli....🙄 usikute we jamaa ni mjomba angu "mkaza shangazi" nna shangazi angu anaitwa dorry (Dorcas)
Tafuta hela usifokewe 😹🤗🤗🤗🤗🤗 Haya ankoli....
Acha ujeuri sawa eeeh
Mwanzo leo kunifokea sawa 😀😀😀😀