Kilimo cha nyanya ni kamari, unaposema nipumzike wenzako wanapiga. Kama unaweza lima kwa kumwagilia, nashauri kuanzaia mwezi wa 5 panda maharage. Yatakuwa na bei nzuri sana, pia kama ulilima mahindi kwaajili ya Gobo, nashauri acha yakauke utakuja piga pesa hapo baadae.