Kosa ambalo CCM kupitia serikali wanafanya linawafanya wengi kuamini ni hawa watu mnaowatumia kama wasanii,influence

Kosa ambalo CCM kupitia serikali wanafanya linawafanya wengi kuamini ni hawa watu mnaowatumia kama wasanii,influence

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja.

Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende kazi.

Dotto magari alikwenda kwa manguruwe ila kwa vile hawa ndio product zenu twende kazi.

Mfumo unaotengenezwa na CCM watu wanaamini machawa na wanaojipendekeza kwenu ndio wanaweza kuwa dhamana.

Soma Pia: Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

Leo kuna msanii mwenye kadi ya CCM naye kalamba chake.

Nchi ufikiri wa CCM bado sana.
 
Sijajua
Uzalendo upo kweli kwa wananchi maana kila ata
Kayeaidiwa donge nono anakuwa chawasaa wakusimamia mtazamo wake ni nani
 
Back
Top Bottom