chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Mar 5, 2025 #1 Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja. Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende kazi. Dotto magari alikwenda kwa manguruwe ila kwa vile hawa ndio product zenu twende kazi. Mfumo unaotengenezwa na CCM watu wanaamini machawa na wanaojipendekeza kwenu ndio wanaweza kuwa dhamana. Soma Pia: Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni? Leo kuna msanii mwenye kadi ya CCM naye kalamba chake. Nchi ufikiri wa CCM bado sana.
Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja. Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende kazi. Dotto magari alikwenda kwa manguruwe ila kwa vile hawa ndio product zenu twende kazi. Mfumo unaotengenezwa na CCM watu wanaamini machawa na wanaojipendekeza kwenu ndio wanaweza kuwa dhamana. Soma Pia: Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni? Leo kuna msanii mwenye kadi ya CCM naye kalamba chake. Nchi ufikiri wa CCM bado sana.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 5, 2025 #2 Noma sana!
S singobha New Member Joined Feb 26, 2025 Posts 3 Reaction score 0 Mar 5, 2025 #3 Sijajua Uzalendo upo kweli kwa wananchi maana kila ata Kayeaidiwa donge nono anakuwa chawasaa wakusimamia mtazamo wake ni nani
Sijajua Uzalendo upo kweli kwa wananchi maana kila ata Kayeaidiwa donge nono anakuwa chawasaa wakusimamia mtazamo wake ni nani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 5, 2025 #4 Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
J JUA ni Kali Sana JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 1,202 Reaction score 1,543 Mar 5, 2025 #5 Hii nchi inasikitisha