Kosa Bando Umjue Rafiki wa Kweli

Ni-PM namba yako ili ukiishiwa bundle niweze kukutafuta.
 
Karibu sana bibie al manusura nikufate pm ila ni heri kua u mzima
 
Akili zako unazijua mwenyew ivi namba ya simu ipo kwenye bango hapo?
 
Pole mnoo heri ya mwaka mpya na kwako dear
waoooooooooooooo na wewe pia Shunie, nashukuru nimeuona mwaka, japo ndio nazidi kulisogolea kaburi maana siku zinavyoongezeka ndio tunapunguza siku za "kula ugali" hahahahah.
 
Mie sikua na bando mwezi muzima jamani
Ila mwaka huu umeanza vizuri, hahahahaha. tehe tehe Numbisa nilivyokuwa sina bando nilkosa hata kufuatilia ule uzi wako wa vituko vya feisibuku hahahhah
 
Hahahaaaaa. Kumbe kipimo cha urafiki wa kweli siku hz kipo in term of bando..
 
Mawasiliani yepi ambayo wengine wote tunayo ukiwq hunq bando tunaweza kukupata
 
Wakati bundle linaribia kuisha uwe unatoa taarifa mkuu, ili uendelee kuwa hewani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…