mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Ama alivyofanikisha kuondoa teaching allowance na kufanya:
1. uwalimu uwe sekta ya wasiona uwezo
2. Maisha ya mwalimu kuwa duni sana
3.Kushuka uwezo na wanafunzi kushuka kiumahiri katika masomo yao
1. uwalimu uwe sekta ya wasiona uwezo
2. Maisha ya mwalimu kuwa duni sana
3.Kushuka uwezo na wanafunzi kushuka kiumahiri katika masomo yao