Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Hili wimbi la wakongwe wa CCM kuhamia upinzani kipindi hiki..then mnawachekea..kitalia kitu mtashangaa!!!!!!Mnategemea nini hapo?..CCM are just very smart, wanacheza na Human Psychology..Hivi mnategemea kweli Shibuda ,Mpendazoe etc...are there for good????Hamuoni kabisa Sura zao zinavyojishitaki???...kama uko smart zaidi,unafiki haujifichi hata mara mora....
Wajinga ndiyo.............
See you when you get there!!!!
Hao akina shibuda wakishinda watadai nyadhifa za juu kwa madai wao ndo wamekifikisha chama hapo kilipo.
If we EVER get there!!!!!!!!Kinachotia naibu ni kule kuwa vigeugeu.Nasikitika Shibuda of all the people anatia aibu!Mara atake kugombea kwa kiti cha CCM,mara ageuke mzalendo baada ya kukosa kura za maoni.Hapo ni uchu tu wa madaraka.Na waseme pia kilichowazuia kuwajibika wakiwa CCM na kitakachowawezesha kuwajibika wakiwa CHADEMA...........Hili wimbi la wakongwe wa CCM kuhamia upinzani kipindi hiki..then mnawachekea..kitalia kitu mtashangaa!!!!!!Mnategemea nini hapo?..CCM are just very smart, wanacheza na Human Psychology..Hivi mnategemea kweli Shibuda ,Mpendazoe etc...are there for good????Hamuoni kabisa Sura zao zinavyojishitaki???...kama uko smart zaidi,unafiki haujifichi hata mara mora....
Wajinga ndiyo.............
See you when you get there!!!!
I agree with u kuwa hao jamaa ni wakutazama kwa makini kwani tumeona wengi wakikimbilia upinzani na wakishauvuruga basi hurudi kwao kama jogoo anavyorudi bandani jioni...kama kweli wana nia na dhamira ya kweli ya kujenga upinzani wasingekimbilia kuomba kugombea bali wangejipanga na kukijua vizuri chama na sera zake ndipo wagombee wakiwa wana-upinzani wa kweli wanaojua sera na mipango ya upinzani...hii inaonesha kuwa wameona wamekosa nafasi ya kujipatia ulaji CCM ndipo wamekimbilia upinzani kujaribu bahati yao huko.
Mhh! Haya mkuu tumekuelewa, kwamba umekataa kuwa mjinga.Dah!! kwa kweli hakuna watu wa kuwaogopa kama Marando ,Shibuda na Mpendazoe..yaani unaona kabisa ni UCHU na NJAA...HAO WATAGEUKA MUDA SI MREFU..MI NAKWAMBIA!!!!...ALL IN ALL HAKUNA MKOMBOZI WA UKWELI...MIMI NACHUKIA SIASA KWA SABABU NIMEKATAA KUFANYWA MJINGA....HAIWEZEKANI ......KWA MFANO AHADI ZA CCM ...99% HAZITEKELEZEKI NI KUWAPUMBAZA WATU TU,HII NI KAWAIDA ....LAKINI HATA HII YA CHADEMA KUSEMA KWAMBA WAKIINGIA IKULU SIJUI NDANI YA SIKU 100 TUTAONA MABADILIKO,,MSHAHARA UTAPANDA,UNAFUU WA BEI,MAISHA NK ..TAFADHALINI JAMANI !!!..HATA MIAKA MITATU MLIOSEMA NI NJOZI.......I HATE POLITICS..NDIO MAANA HUWA SIPIGI KURA..NIMEKATAA KUWA MJINGA...UNLESS UNIAMBIE WEWE KAMA MGOMBEA UTANIFAIDISHA NINI MIMI BINAFSI..(NDIO UKWELI SABABU HAKUNA MANUFAA YA WOTE,NEVER!!).......SITAKI MNIAMBIE USHENZI WA 'KUPIGA KURA NI HAKI YAKO'...NI UPUUZI MTUPU....
I agree with u kuwa hao jamaa ni wakutazama kwa makini kwani tumeona wengi wakikimbilia upinzani na wakishauvuruga basi hurudi kwao kama jogoo anavyorudi bandani jioni...kama kweli wana nia na dhamira ya kweli ya kujenga upinzani wasingekimbilia kuomba kugombea bali wangejipanga na kukijua vizuri chama na sera zake ndipo wagombee wakiwa wana-upinzani wa kweli wanaojua sera na mipango ya upinzani...hii inaonesha kuwa wameona wamekosa nafasi ya kujipatia ulaji CCM ndipo wamekimbilia upinzani kujaribu bahati yao huko.
Dah!! kwa kweli hakuna watu wa kuwaogopa kama Marando ,Shibuda na Mpendazoe..yaani unaona kabisa ni UCHU na NJAA...HAO WATAGEUKA MUDA SI MREFU..MI NAKWAMBIA!!!!...ALL IN ALL HAKUNA MKOMBOZI WA UKWELI...MIMI NACHUKIA SIASA KWA SABABU NIMEKATAA KUFANYWA MJINGA....HAIWEZEKANI ......KWA MFANO AHADI ZA CCM ...99% HAZITEKELEZEKI NI KUWAPUMBAZA WATU TU,HII NI KAWAIDA ....LAKINI HATA HII YA CHADEMA KUSEMA KWAMBA WAKIINGIA IKULU SIJUI NDANI YA SIKU 100 TUTAONA MABADILIKO,,MSHAHARA UTAPANDA,UNAFUU WA BEI,MAISHA NK ..TAFADHALINI JAMANI !!!..HATA MIAKA MITATU MLIOSEMA NI NJOZI.......I HATE POLITICS..NDIO MAANA HUWA SIPIGI KURA..NIMEKATAA KUWA MJINGA...UNLESS UNIAMBIE WEWE KAMA MGOMBEA UTANIFAIDISHA NINI MIMI BINAFSI..(NDIO UKWELI SABABU HAKUNA MANUFAA YA WOTE,NEVER!!).......SITAKI MNIAMBIE USHENZI WA 'KUPIGA KURA NI HAKI YAKO'...NI UPUUZI MTUPU....