Kosa la huyu mwanaume ni nini?

kweli hapa naona password imeibiwa sio bure...
 
Binadamu wanatofautiana pengine huyo baba hapendi kula mifupa kwasababu yeye ni kibogoyo sasa mama anajua ugojwa wa mumewe ni vilivyonona ataacha kununa
Mi nngekuw huy mmama hat nsinge-mynd,mana cpend unene n hat ctishikag wen my bf akiw amesimam o kumwangalia big fatty assy women!
 
hivi ukimsikia mkeo anamsifia houseboy kuwa amependeza we mume utajiskiaje?
 
halafu nimeshakugundua wewe.....vitu vingi sana tunaendana.....

Lazima tuwe vile, wewe ni mwanamke mwenye msimamo na mimi ni mwanaume mwenye msimamo...sio yule mwanaume kule anasema eti sababu house girl kamsogezea chakula au kampikia ndo lazima amsifie, hao ndo wanaishia kuoa ma house girl wao badaye.

Wife ni wife tu...lazima apewe heshima yake kakusogezea chakula, kakunua atabakia kuwa wife wako, na house girl kakuletea chakula, kakupikia, au kakucheka atabakia ni house girl :bounce:
 
sawa kabisa....kesho anaanza kumwambia....umenenepa sana hasa hapa....anaanza kumpapasa mananihii....mwee mwee......
yewomiii!! Halafu kwa bahati mbaya mke wake amuone, spati picha itakuwaje!
 
hahahah mi mke wangu akiona jamaa handsome kwenye tv anamsifia ila mimi nikimsifia binti anazima tv.
 
ial kwa nini asimsifie mkewe?

mkewe hajanenepa. Ila huyo mke naye Kilaza. Inakuaje house girl amuandalie mumewe chakula na kumkarbsha pia? ye amekaa tu anaangalia Soy tu Duena.. Jamaa kafanya jambo jema kumsfia huyo bnt. Nadhan mkewe atapata akili. Kudadeki.
 
na nyie wanaume,hebu punguzeni uvivu,aah.kwani kuna shida gani ya kuuliza jee niwasaidie kitu gani,au kama chakula tayari,ningependa kukichukua mwenyewe kukiweka mezani.wewe umetoka kazini,moja kwa moja baa.huyo mke inaonyesha hiyo ni kama sababu tu ya kulalamika.ila ana masononeko mengine.hebu wapeni attention wake zenu,mnatakiwa na nyinyi wanaume mfundwe
 
Hivi kwa mfano jamaa angemwambia huyo house girl kuwa "Siku hizi unakonda...!" bado ingekuwa utata?
 
hapa ndio utajua heshima ya pombe ndio matokeo yake. la pili nyumba zetu zinakosa heshima kwa kuwaweka house girl kuwa ndio wakufanya kila jambo ndani ya nyumba mpaka kufua nguo za ndani za mmeo au hata wewe mke na hapa unaona hakumkaribisha mmewe mezani ndio hayo yote yametokea hapo. turudini kanani tujiulize ni wapi tulikopotea tukatubu.
 

wewe macho yako yana tamaa ndo maana mkakubaliana kumleta huyo hg kila kitu akifanye yeye huyo hg mmemleta wa nini,huo ni utomvu wa nidhamu isikute hata huna tabia ya kumsifia waifu wako lakini kwa wengine unazimwaga kama njugu.
 
hapa tatizo ni kubwa sana......
kama ni mimi mkewe....nahama nyumbani.....
mwanaume maalun kweli huyo.......

Preta punguza utata...kwani wangapi huwa wankusifia hata mbele ya jamaa...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…