Uchaguzi 2020 Kosa la kimkakati walilofanya CHADEMA

Hii ndio chadema tunayoitaka, nccr naona waliandaliwa kuleta fujo upinzani lkn baada ya mwamba kurudi wameishia kushona maova roll
 
Kwani yule aliyesema '...uchaguzi ukiwa guru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi nchi ni CHADEMA? Yule aliyesema CCM imejaa majizi ni CHADEMA? Hata Kinana na Nape nao walikua wanachadema?
Tusipoteze kumbukumbu haraka. Kama mnajua mmefanya maendeleo kama vile kununua ndege, SGR, Nyerere dam, fly over, ufisadi kuisha, uchumi kukua na kuimarika, nk mna wasiwasi gani tena? Najua wananchi wanajua aliyofanya Rais na huyo Lissu hana cha kuzungumza lakini mbn ni kama mnamuhofia?
 
Acha kupoteza muda kijana...... Rais ni TUNDU Lissu....

Jiandae tu kisaikolojia
 

Sio kwa povu hili ww msichana.
 
Musiba punguza jazba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point
 
Tambiko la kitaifa la mwenge wa uhuru limebuma baada ya kukiukwa kwa masharti ya kushirikina, sasa badala ya mwenge kuangaza nje ya mipaka ya nchi yetu, sasa inaangaza ndani ya akili za Watanzania, na ndani ya mipaka ya nchi yetu.
Hili Ni kosa kubwa Sana JPM alifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • 2451677_Apandacho_mtu_ndicho_atakachovuna__268_X_480_.mp4
    370.1 KB
Mhai Mhaini mama yaco aisee usitufokee
 
Akili ndogo hii!
 

Can you deny that CHADEMA has caught your underpants? sasa kama lugha ya malikia huijui siyo kosa langu. maana siyo kwa hasira hizi umeandika huku unahema utadhani umekimbizwa na chatu, LISSU keshaingia kiboko yenu mwambieni polepole awalipe na extra duty maana hizi mbilinge za LISSU ni shida.

Mlikuwa mmerelax sana for almost three yrs sasa hivi mtalazimika kaufanya kazi na usiku, ombeni posho za mkesha
 
Ni utaahira mkubwa sana kuishabikia CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…